Kama huduma Tunawapelekea neno la Mungu watu waishio katika mazingira magumu kama vile yatima, wajane, wafungwa na wazee.Tuna watembekea katika vituo vyao au sehemu wanazo ishi ambapo huwa tunapeleka ujumbe wa Mungu pamoja sadaka zetu hapo kama zawadi tukifurahi wema wa Mungu pamoja nao.
Tunashiriki huduma zingime za kijamii ikiwa no pamoja na kujitolea kulipia ada za wanafunzi, kuwanunulia vifaa vya shule, na mengine mengi.
Karibu tujenge ufalme wa Mungu