Kutokana na mipaka ya kidini,kidhebu na kimila tunatambua kuwa wapo watu ambao hawawezi kuingia kanisani, jambo hili linawanyima kupokea vipawa vya Mungu wao ikiwa ni pamoja na kumtambua Mungu katika maisha yao.
Neno ministry hutoa huduma ya maombi,maombezi, mafundisho na ushauri kupitia mtando,kwa njia hii tumewafikia wengi na wamepokea Baraka zao.Huduma za maobi na maombezi pia hutolewa kwa kuonana na mhusika ikiwa atapenda kufanya hivyo.Hiduma hii hutolewa pasipo malipo ya aina yoyote ile.