Mwambie Mumgu asante Kwa wema wake kwako hata kama hujui ni kitu gani amekutendea we mwambie asante kwani kuna mengi ametenda bahati mbaya macho yako hayaoni.
Biblia ina tushari kumwambia Mungu asante Kwa kila hali tunayo ipitia maishani mwetu hata kama ni hatua chungu kwetu lakini inatupasa kujua kuwa Mungu amefanya hayo Kwa sababu anatupenda na no Kwa Tunafaida yetu wenyewe, tunasoma 1 Wathesalonike 5:18
[18]shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.
Aisee mwambie Mungu asante!.
Mungu anasema 1 Petro 5:7 [7]huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu.
Ndiyo Mungu hujishughulisha Sana nambo yako, Ile kwamba hauoni haimanishi hajisghulishi na mambo yako jua bado anahangaika Sana kuhakikisha unapata mahitaji yako.
Angalia Leo hii Una mwaka hujafika hospital kabisa nawe ni shahidi ukienda hospital Una kuta watu wamelala hawajiwezi unadhani wewe ni mjanja kukwepa bacteria wa magonjwa hata uwe mzima Leo hii?.
Aisee mwambie Mungu asante.
Tazama Vizuri ona wapendwa wametwaliwa pikipiki zimewapitia lakini wewe kila siku wapanda pigipiki je ni kweli mpaka hapo huoni cha kusema asante Kwa Mungu wako. haikubaliki kabisa hebu kuwa Makini kidogo mwambie Mungu asante.
unajua wakati fulani unaweza kudharau kitu lakini usijue Mungu amehangaika mmno mpaka wewe ukapata japo hukidhamini. Biblia inatupa mfano mmoja mzuri Sana unao patikana katika 1 Wafalme 17:5-6
[5]Basi akaenda akafanya kama alivyosema BWANA; kwa kuwa akaenda akakaa karibu na kijito cha Kerithi, kinachokabili Yordani.
[6]Kunguru wakamletea mkate na nyama asubuhi, na mkate na nyama jioni, akanywa maji ya kile kijito.
Hii nu habari ya Eliya hebu tutafakari pamoja tuone jinsi Mungu anavyojishughulisha na maisha yetu. Ona kulikuwa na njaa Kali Sana kiasi kwamba Mito ilikuwa imekauka sasa jiulize hivi kungulu aliutoa wapi ule mkate na Ile nyama kila siku. Halafu Kwa nini kungulu mwenyewe hakula ikiwa kulikuwa na njaa nchi zima, je Nani huyu alikuwa pole na shibe nyingi kiasi cha kutupa mkate na nyama kila siku?. Nini naona hapa ni kuwa kile chakula hakikuwa cha kimwili hapana Bali kiliandaliwa na Mungu mwenyewe si unakumbuka aliwahi kuwapikia waisraeli Mana jangwani. Tena kumbuka kuwa Elia aliwahi kuletewa mkate na gudulia la maji na malaika ( 1 Wafalme 19- 8 ) Kwa hiyo usishangae nikikuambia Mungu alimwandalia Elia chakula na kujifikisha kwake Kwa njia ya kungulu.
Hallelujah!. Eliya angeweza kudharau kile chakula ukizingatia kimeletwa na kungulu,sote tuna mfahamu vizuri kungulu kuwa si msafi, Eliya angewza kusema Mimi ni mtumishi mkubwa wa Mungu siwezi kulishwa na kungulu lakini tunaona Eliya alipokea Kwa shukrani.
Mpendwa inawezekana kweli umelalia vipande vya mhongo nawe Una maswali kwanini ule mihongo wewe ni mtumishi, sikia ndugu yangu mwambie Mungu asante hata Kwa hiyo mihogo maana Mungu amehangaika Sana kuhakikisha wewe unaipata hiyo mihogo nakwambi mwambie Mungu asante. kuna watu hata mhogo wamekosa siku ya Leo.
jifunze kumwambia Mungu asante atakubarikia mihogo yako utashangaa, pengine hunielewi angalia mezani kwako Leo Una ungali na matembele tuu lakini Kwa jirani yako mezani kuna mbonga Saba na matunda kibao na ni kila siku lakini ajabu ni kwamba wewe Una afya Bora kuliko yao, unaelewa lakini ?,mwambie Mungu asante. Rafiki jirani yako ana gari zuri lakini angalia jinsi wanavyo gombana kila siku lakini wewe na mwenza wako mnajipia kiwali chenu tena hata mafuta hamna mwaongaza kanisani , mara sokoni mna Amani Tele mioyoni j
huoni kuwa ni ajabu.
Asisee mwambieesu asante.
kuna wakati mwingine Mungu anawainua watu hata Wale ulifikiri hawazi kukusaidia Kwa sababu hawana uwezo. Hebu angalia kisa cha Elia kutunzwa na Yule mama mjane. Utakubaliana NAMI kuwa si Jambo la heshima mwanaume mzima kutunzwa na mwanake tena mjane haiingii akilini kabisa tena Kwa upande wake Eliya alikuwa nabii ambaye Mungu aliweza kujibu maombi yake Kwa Moto lakini Mungu aliruhusu atunzwe na mwanamke mjane sijui unpo jaribukukaa mahali pa Eliya unajiaikiaje wewe lakini kwangu maswali ya Yuko wapi Mungu ninaye yemtumikia yasimgekosekana. Eliya aliyapokea haya yote Kwa shukrani.
Mpendwa kuna mengi sana ambayo Mungu anafanya katika maisha yetu hata hatuelewi Kwa nini amefanya Kwa sababu tunaona either ametuonea au hatukustahili tutendewe vile sababu Sisi n Wana wa ufalme lakini Biblia inatuambia yeye Mungu amejishughulisha Mno na maisha yetu mpaka tuko hivi.ni Kwa kulijua hili ndio maana Biblia umetushauri tumahukuru Mungu Kwa kila Jambo maishani mwetu.
Mwambie Mungu asante.
Katika jina la Yesu nasema na wewe sasa ambaye umeachwa na mchumba wako futa machozi mwambie Mungu asante iko nguvu katika kushauru utaona Mungu akigeuza machozi yako kuwa kicheko kumbuka wale 10 wenye ukoma mmoja wao alipo Rudi kushauru akapokea uponyaji kabisa wa mwili wake. Iko nguvu katika kushauru nasema nawe uliye fell mhtihani wako na sasa umebaki kumlaumu Mungu nakuambia Kwa kina la Yesu geuka!. badili mtazamo wako Anza kusema asante Kwani iko njia amekuandalia utafika chuoni tu. Inuka Baba inuka mama mmekosa mtoto muda mrefu mmesikia maneno ya kila namna Sawa lakini leo neno hili lifanyike unabii kwako badili kilio chako kiwe shukrani Yesu atafanya zaidi ya uwazayo wewe. Hilo lililo mbele yako ni kweli ni kubwa lakini bado Mungu hajashindwa
MWAMBIE MUNGU ASANTE!.